Mtu
mmoja anadaiwa kufa kwa kupigwa risasi Kichwani huku wengine kadhaa
wakijeruhiwa vibaya kwa Risasi za moto baada ya Polisi kuwarushia
Risaasi za moto na mabomu ya machozi waandamani wa Chadema mjini hapa.
Baadhi
ya wafuasi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA
mkoani Morogoro wakiongozwa na polisi baada ya kuwatawanyisha walipokuwa
wakifanya maandamano maeneo ya Msamvu mjini Morogoro mchana wa leo.
Polisi walitibua maandamano hayo yanayodaiwa kutokua rasmi kwa mabomu ya
machozi.
Huyu
ni Ally Zona muuza magazeti wa Msamvu Morogoro akiwa hajitambui baada
ya kutandikwa risasi na Polisi kuzuia maandamano ya chadema
No comments:
Post a Comment