Tickets
za Mambo Jambo Summer jam Concert itayofanyika siku ya Iddi mosi (Eid
el Fitr) Pande za Sheikh Amri Abeid Stadium sasa zinapatikana kote
Arusha katika vituo
vifuatavyo;
Sakina shopping supermarket,Panone petrol station
supermarket ngarenaro,Bugaloo pub Njiro complex,Zamzam Bakery sakina
kwaiddi,2i pub kijenge banana,JJ Black fashion house mjini kati pamoja
na Mpesa shop iliyopo Perferct Choice supermarket mkabala na chuo cha
tropical centre
.wahi sasa ticket ni buku mbili tu (2000/=),na kila
ticket ina coupon ya bahati nasibu hiyo waweza kujishindia
Blackberry,Flatscreen tv,Tshirts na hata Pesa Taslim pale uwanjani
!!
Mbali na draw hiyo utapata kuwashuhudia live on
stage,WEUSI,FidoVato,JCB, StopaRhymes,Bounako,TaigaRaiz, Gentriez,Meccacheka,J4C,Yung Omega,EffectZero,May C,BadTaito,MirryCandle,Veejay na Gfaya,Mambojambo summer
jam,muziki kazi!!!!
No comments:
Post a Comment