Bendi ya Twanga pepeta na Mapacha watatu Zaungana kikazi,hapa ikiwa
ni collabo nzito kati ya waimbaji toka Bendi hizi kubwa katika mziki wa
Dansi Tanzania,Nyimbo hii inayokwenda kwa jina la "ni yeye" yenye
mapigo ya "Zouk" imetengenezwa studio za NK Production chini ya
Mtayarishaji "Christon" .
hivyo mashabiki wanajipatia brand new ladha toka kwa January eleven aka Januarytop wa Mapacha watatu akishirikiana vilivyo na jembe toka Twanga "DogoVena" ambao ndio watunzi na waimbaji katika track hii.

No comments:
Post a Comment