Sunday, September 23, 2012

Matokeo ya Bundesliga

Timu ya Bayern Munich ilifunga mara mbili katika muda wa  dakika tatu na kuishinda Shalke04 kwa magoli mawili bila (2:0) Jumamosi. Wakati huo huo  mabingwa watetezi Borussia Dortmunt wamejikuta pabaya baada ya kushindwa na Hamburg kwa magoli matatu kwa mawili (3:2). Mainz iliichapa Augsburg magoli mawili kwa bila (2:0) na Freiburg na Dusseldorf walitoka sara ya bila kufungana.

No comments:

Post a Comment