Monday, October 1, 2012

MJUE TONY WISTON MO TOWN KING

Alianza music miaka ya 2000 katika stail ya hip hop kabla ya kurekodi nyimbo zaid ya tatu , amabzo hata hivyo hazikupata air play kubwa katika radio .

kwa kweli kama ni upenzi wa music basi Tonywiston nae ni mmoja wapo kwani pamoja na yote anayopitia bado hajakata tamaa na siku moja ana ndoto za kufanya kazi na msanii JOH MAKIN au FID Q kwani anawakubali na kazi zao pia anazikubali.

Mo town king au Tonywiston yuko katika harakati za kuipua track yake yake amabyo kwa sasa ipo jikoni ,akingo'ng'oreka na  gaziti hili  la mtandao mo town amesema track hiyo anamshirikisha msanii  TUNDAMN kutoka TIP TOP connection na tayari maandalizi yameshaanza kwajili ya project kubwa inayokuja kutoka studio ya MJ record chini ya producer  Marco Chali kwa wale mashabiki wake wakae mkao wa kupokea track yake mpya .


na blogu yako hii iatendelea kukuletea story kibao kuhusu Tonywiston mo town king  ili uweze kujua  project yake imefikia wapi  na kuhusu track zake mpya

No comments:

Post a Comment