|  | 
| Naibu waziri wa Maji Mh Dk Binilith Mahenge akiwa pamoja na DC Musoma Jackison Msome na mkurugenzi wa MUWASA Gines Kaduei | 
|  | 
| Sehemu ya mitambo ya maji | 
|  | 
| Naibu waziri wa Maji Mh Dk Binilith Mahenge akipewa maelezo na ufafanuzi juu ya mradi huo na mkurugenzi wa MUWASA Gines Kaduei | 
|  | 
| Chanzo cha maji cha Muwasa katika ziwa victoria ambacho kinahitajika kuhamishwa kwa gharama ya bilioni 41 kwaajili ya kuwezesha mji wa Musoma kupata maji ya uhakika | 
|  | 
| Sehemu ya mji wa Butiama | 
|  | 
| Viongozi wa wilaya ya Butiama wakiwa na naibu waziri wa maji wa kwanza kushoto ni Magina Magesa m/kiti wa halmashauri ya Musoma | 
|  | 
| Msafara. | 
|  | 
| Chanzo cha maji cha mradi wa Mugango,Kiabakari hadi Butiama | 
|  | 
| Maelezo kwa kina yalifanyika hapa. | 
|  | 
| Bango la wafanyakazi wa maji Mugango/Butiama ambao wanaidai serikali miezi 26 hadi miaka mitatu | 
|  | 
| Sehemu ya mji wa Butiama | 
|  | 
| Naibu waziri wa maji akiangalia Bwawa la Kiarano | 
 
 
 
No comments:
Post a Comment