Thursday, February 7, 2013

NDOA YA GASPER SAMBWETI YATIMIZA MIAKA 5

Gasper na Esther siku ya ndoa yao 09/02/2008
Hakika Mungu ni mwema sifa na utukufu zirudi kwake,ni furaha kubwa kwa familia ya bwana na bibi Gasper Sambweti (ANKO G) kwa kusherekea miaka 5 ya ndoa yao,tangu walipofunga ndoa tarehe 9 mwezi 2 mwaka 2008 katika kanisa katoliki la watakatifu Petro na Paulo.
Allen mtoto wa kwanza wa Gasper & Esther

Mbele ya wadhamini John Malya na mke wake Elina John ,hakika sio kwa uwezo wao binafsi bali ni kwa uwezo wa Mungu pekee,katika kusherekea siku kubwa hii ya ndoa yao kutumiza miaka mitano(5).
      


Gasper  (anko G)

  Wanapenda kutoa shukran zaoza dhati kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ushauri/misaada yao ya hali na mali kwa nyakati zote ambazo wamekuwa na uhitaji wa kipekee,



Gasper Sambweti akiwa na uniform za kazini WARRIOR SECURITY
Ambapo ni controller (CCTV &CUSTOMER CARE)

wanamshukuru mungu kwa kuilinda na kuikuza familia yao kwani mwanzo walikuwa wawili walipounganishwa kwa ndoa takatifu na leo wakiwa wanasherkea miaka 5 wanamshukuru Mungu kwa kujalia familia yao watoto wazuri na wenye afya ambao ni Allen & Alvin.

                                      bi esther  wakati wa ndoa yao mwaka 2008

 



Bwana Gasper ni Mwajiriwa wa warrior security kwa nafasi ya cctv na customer care pia mwandishi wa habari wa kujitegemea na mmiliki wa blog ya G SAMBWETI
(http://sambweti.blogspot.com) pia mmiliki wa Atum entertainment  akiwa kama MC katika  sherehe na mambo mbali mbali pia dj.

ALVIN mtoto wa pili kwa familia ya bwana na bi Gasper

ALEN mtoto wa Kwanza kwa familia ya bwana na bi Gasper

picha ikionyesha taswira za familia ya bwana Gasper

                                              baba na mwana


wakati mkewe  Esther akiwa ni secretary mkuu wa Atum entertainment na kwa sasa wanaishi jijini Dar es salaam.

Mwisho Mungu awalinde katika ndoa yao wazidi kupendana na kuwatunza watoto wao vyema kwa maadili mema.

                                                               Hongereni kwa miaka 5 ya ndoa.


No comments:

Post a Comment