Saturday, March 30, 2013

MPAKA SASA MAITI 18 NA MAJERUHI ZAIDI WAMEPATIKANA KATIKA JENGO LA GHORA 15 LILILOPOROMOKA JANA

Kufuatia kunguka kwa jengo la ghorofa 15 jana mapema asubuhi mpaka sasa ni maiti ku,i na nane tu  (18) tu ndizo zilizo  patikana katika kifusi cha  jengo hilo  ambalo mpaka sasa bado juhudi za kuokoa waliofikwa na janga hilo  kupatikana.

makampuni  mbali mbali ya ujenzi  kama starbags,advent contruction na makampuni, mbali mbali bado yanajitahidi kutoa huduma za uokoaji.


sambweti.blogspot.com  inatoa pole kwa  watu wote waliofikwa na janga hili  na mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMIN.

No comments:

Post a Comment