Monday, March 18, 2013

Victor John aka Veejay aja na "Mbele kwa Yesu"

Mbele kwa Yesu" ni wimbo mpya wa injili toka Noizmekah Studios Arusha wa msanii Veejay anayefahamika sasa kama 'MWINJILISTI VICTOR JOHN, akiwa amemshirikisha mwanadada Catrina wa GreenHouse Records. Ngoma hii iwafikie Vijana wote hususan wa kitanzania tunaopambana na maisha katika nyakati za majaribu, Shukrani tele ziende kwa watanzania wote wanaokubali kazi zangu na ombi langu kuu ni support kutoka kwa wadau wa muziki wa injili katika media mbalimbali duniani. Download wimbo HAPA

No comments:

Post a Comment