Tuesday, June 25, 2013

Brand New Naccri MC - Niongeze Tena Nyingine

Huyu ni Naccri MC kijana aliyekulia Arusha na kukuzwa kipaji chake ndani ya Tamaduni Music,hii ni singo ya kwanza toka kwenye project yake ambayo anatarajia kuiachia mwishoni mwa mwezi novemba,santuri hiyo itakua na mikwaju 10,na huu hapa ni wa kwanza unaokwenda kwa jina "Niongeze Tena Nyingine" ukiwa umetengenezewa pande za Grandmaster Records na M Lab,msimamizi akiwa John Blass
Sikiliza/Download Niongeze Tena Nyingine Hapa;naccri.jpg

No comments:

Post a Comment