Wednesday, June 5, 2013

DULLY AAMUA KUBAKI MOROGORO KWA AJILI YA KUAGA MWILI WA MSANI MWENZAKE ALIBERT MAGWEHA

Kuna taarifa ziliandikwa na baadhi ya mitandao 
kuwa Brother Dully hakwenda kupokea wala

kuaga mwili wa Ngwair na badala yake alikuwa akila bata na mpenzi wake,iko hivi;Siku moja baada ya kifo cha marehem Ngwea, 
Dully alikuwa na safari ya kuelekea Mwanza, ambapo alikaa huko kwa 
muda wa siku mbili na kurudi, kwakuwa alikuwa akiendesha mwenyewe gari lake kuelekea Mwanza na kurudi, Dully aliamua kubaki Morogoro tangu siku ya juma tatu
 kuusubiri mwili wa Ngwea, ambapo kwa sasa yupo na
 afande sele na wananchi kibao maeneo ya nane nane
, wakisubiri kuusindikiza mwili wa  marehem kutoka maeneo hayo

No comments:

Post a Comment