Wednesday, June 5, 2013

HAPA NI MJI KASORO BAHARI MOROGORO AMBAPO NDIO NYUMBANI KWA MAMA MZAZI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEHA MAANDALIZI YALIKUWA YAKIENEDLEA PATA PICHA HAPA


 Wageni waliofika msibani Morogoro kwa marehemu Mangwea. 
 Masufuliya ya chakula kwa watu waliokuwepo msibani morogoro.
 Wakipanga jambo kutokana na eneo la nyumbani kwao marehemu Mangwea kuwa padogo.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment