MASHINDANO YA UMITA SHUMITA KWA MKOA WA KAGERA YAZINDULIWA RASMI KATKA CHUO CHA UALIMU KATOKE
habari na picha na kutoka kwa mwandishi wetu JUNIOR MWEMEZI kutoka BUKOBA
mashindano hayo yanayoshirikisha wilaya saba za M,issenyeKaragwe,NgaraBiharamlo,Bukoba Manispaa,Bukoba vijijin na Muleba,na kuwajumuisha jumla ya wanafunzi 714,ambao watapunguzwa hadi kufikia 120, ambao ndio watakaoshiriki mashindano ya kanda ya kati yatakayofanyka kasuru kigoma.
No comments:
Post a Comment