Thursday, June 6, 2013

MSANII ALBERT MANGWEHA AZIKWA NA MAELFU YA WATU NYUMBANI KWAO KIHONDA MOROGORO




Kabla ya kuzikwa, wananchi wa Morogoro walipata fursa ya kuuaga mwili wake kwenye uwanja wa Jamhuri..
  
MSANII M TO THE P  NAE ALIWEZA LEO KUWA MMOJAWAPO  WALIOMUAGA NGWEHA KWELI INASIKITISHA SANA LAKINI...................
 
16f11344cea711e2813a22000a1f8f34_7
75e8603ecea511e29ecd22000aaa08de_7
4406673ccea511e2850422000a1f9a85_7
e1147594cea211e2a86422000a1f9839_7
ee9d94facea411e2a9ea22000ae81462_7
f18745b2cea411e2aa3022000a9e2931_7
Add caption

HAPA WATU WANAKIMBIA KUPANGA MSTARI KWENDA KUAGA MWILI WA MAREHEMU  COW BOAMA
Huyu ndio mama mzazi wa  Albert Mangeha  akiotet jambo na mkuu wa mkuu wa mkoa mh Joel Bendera

No comments:

Post a Comment