Sunday, August 25, 2013

Mahafali ya Darasa la Saba Shule ya Msingi Bunge


Diwani wa Kata ya Msongola, Angelina Adam Malembeka,  akipokea msaada wa jumla ya 2,380,000/= kama mchango wa madawati, kutoka kwa Esther  Mmbaga kwa niaba ya wahitimu wenzeka waliomaliza Shule ya Msingi Bunge, mwaka 1990  leo, jijini Dar es Salaam, wakati wa mahafali ya kuwaaga
wanaohitimu darasa la saba.
Diwani wa Kata ya Msongola, Angelina Adam Malembeka,  akisalimia na wanafunzi wa chekechea baada ya kuwapa zawadi ya shilingi laki moja kama motisha kwao leo, jijini Dar es Salaam, wakati wa mahafali ya kuwaaga darasa la saba. Diwani Malembeka alimuwakilisha Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo. (Picha zote na Frank Shija - Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)

No comments:

Post a Comment