Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kupiga marufuku shughuli za uchimbaji kwenye machimbo ya Golani, maeneo ya Pugu na jijini kwa ujumla. Machimbo hayo yalisababisha watu wawili kupoteza maisha Jumatatu iliyopita kutokana na kuporomoka kwa kifusi cha mgodi huo. Ametoa siku mbili kwa wachimbaji ambao bado hawajafanikiwa kuuza mzigo wao kwenye machimbo hayo kufanya hivyo haraka iwezekanavyo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya wanakamati ya migodi wakiwa katika mkutano huo wa Mkuu wa Mkoa pamoja na waandishi wa habari, wakisikiliza taarifa iliyokuwa ikitolewa na mkuu huyo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kupiga marufuku shughuli hizo za uchimbaji kwenye machimbo ya Golani, maeneo ya Pugu na jijini kote kwa ujumla.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam jana, kuhusu kupiga marufuku shughuli za uchimbaji kwenye machimbo ya Golani, maeneo ya Pugu na jijini.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akijibu maswali ya waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati alipokuwa akizungumza nao, kuhusu kupiga marufuku shughuli za uchimbaji kwenye machimbo ya Golani, maeneo ya Pugu na jijini kote kwa ujumla. Machimbo hayo yalisababisha watu wawili kupoteza maisha Jumatatu iliyopita kutokana na kuporomoka kwa kifusi cha mgodi huo.
Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, Fredy Mwanjala, akiuliza swali kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, wakati wa mkutano huo jana.
Mhandisi Migodi na Mkaguzi wa Migodi na Baruti, akitoa maelezo kwa waandishi wa habari kuhusu mambo ya migodi na shughuli za uchimbaji mbele ya Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (kulia) na waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya waandishi wa habari na wanakamati, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam jana, kuhusu kupiga marufuku shughuli za uchimbaji kwenye machimbo ya Golani, maeneo ya Pugu na jijini kote kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment