Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) akipokea zawadi ya kuku kutoka kwa mmoja waumini wakati wa ufunguzi wa Msikiti na Madrasa wa Masjid Madinatil Munawwar uliopo Kibingu-Msanga Zalala kijiji cha Msimbu Wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani. (Picha zote na Lorietha Laurence-maelezo)
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) akisikiliza maelekezo kutoka kwa Shekhe Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Amiri Fihi (kulia) alipotembelea mojawapo ya vyumba vya Madrasa baada ya kufunguliwa rasmi kwa Msikiti na Mardasa wa Masjid Madinatil Munawwar uliopo Kibingu-Msanga Zalala kijiji cha Msimbu wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani.
Waumini wa dini ya Kiislamu wakiingia katika Msikiti wa Masjid Madinatil Munawwar wakata swala ya ijumaa ambapo ulifunguliwa rasmi Kibingu-Msanga Zalala kijiji cha Msimbu wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) akisisitiza jambo kwa waumini wa dini ya Kiislamu wakati wa ufunguzi wa Msikiti na Madrasa wa Masjid Madinatil Munawwar uliopo Kibingu-Msanga Zalala kijiji cha Msimbu wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani,kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Bi.Fatuma Kimario na kushoto ni Shekhe Mkuu wa wilaya hiyo Amiri Fihi.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi.Fatuma Kimario akimkaribisha Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA),(hayumo pichani) wakati wa ufunguzi wa Msikiti na Madrasa wa Masjid Madinatil Munawwar uliopo Kibingu-Msanga Zalala kijiji cha Msimbu wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) akimsikiliza Binti Nassoro(wa kwanza kushoto waliokaa) ambaye pamoja kaka yake wametoa hekali tano kwa ajili ya ujenzi Msikiti na Mardasa wa Masjid Madinatil Munawwar uliopo Kibingu-Msanga Zalala kijiji cha Msimbu wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani, kushoto ni mjukuu wa bibi huyo Bw. Kavindo.
Waumini wa dini ya Kiislamu wakimsikiliza Mgeni rasmi Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) wakati wa ufunguzi wa Msikiti na Madrasa wa Masjid Madinatil Munawwar uliopo Kibingu-Msanga Zalala kijiji cha Msimbu wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani.
Waumini wa dini ya Kiislamu wakimsikiliza Mgeni rasmi Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) wakati wa ufunguzi wa Msikiti na Madrasa wa Masjid Madinatil Munawwar uliopo Kibingu-Msanga Zalala kijiji cha Msimbu wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.

No comments:
Post a Comment