Friday, September 13, 2013

Rais Kikwete aongeza viongozi wanaotakiwa ktangaza mali zao


 
Waziri Mkuchika akizungumza kwenye katika Semina ya Wahariri wa Vyombo vya Habari semina hiyo.
Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda akizungumza na washiriki wa Semina (hawao pichani). Kushoto kwake ni Waziri Mkuchika na Mwenyekiti wa Baraza la Sekretarieti Balozi Jaji Mstaafu Hamisi Msumi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora George Mkuchika akizungumza katika ufunguzi wa Semina.Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Sekretarieti ya Maadili Balozi Jaji Mstaafu Hamisi Msumi
na kushoto ni Kamishna wa Sekretarieti Jaji Mstaafu Salome Kaganda.
 Baadhi ya washiriki wakiwa katika Semina hiyo.
Washirikiwa wa Semina wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi wa ufunguzi wa Semina hiyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora George Mkuchika (aliyekaa katika mstari wa
mbele).Wa kwanza kushoto waliokaa ni mwakilishi wa Shirika la Misaada la Marekani USAID.
Waziri Mkuchika akizungumza na wanahabari. (Picha zote na Hussein Makame, MAELEZO)

No comments:

Post a Comment