Wednesday, October 23, 2013

Kamati ya Mashindano ya Shule za Sekondari Afrika Mashariki yatembelea Tanzania


Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Michezo sehemu ya Miundombinu Makoye Nkenyenge, akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Mashindano ya Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki( hawapo pichani), walipotembelea Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya uwezekano wa Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo mwakani.
Rais wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA), Mugisha Justus akisisitiza jambo mbele ya Kamati ya Mashindano ya Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (hawapo pichani), walipotembelea Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya uwezekanop wa Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo mwakani.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA), David Ngugi akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Mashindano ya Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (hawapo pichani), walipotembelea Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya uwezekanop wa Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo mwakani.
Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Michezo sehemu ya Miundombinu Makoye Nkenyenge (kushoto), akiteta jambo na Katibu wa Uhamasishaji wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA),Vitalis Kulindwa Shija (aliyevaa koti), walipotembelea Uwanja wa Taifa kwa ajili ya mazungumzo kuhusu Tanzania kuwa mwenyeji wa mashinda ya shirikisho hilo, hapo mwakani.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo sehemu ya Miundombinu, Makoye Nkenyenge (wa tatu kushoto waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari, Afrika Mashariki na baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. (Picha zote na  Kitengo cha Mawasiliano Serikalini -WHVUM)

No comments:

Post a Comment