Wednesday, October 23, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akutana na Rais wa Bunge la Switzerland kwa mazungumzo, Ikulu Dar es Salaam


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Rais wa Bunge la Switzerland, Maya Graf, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana kwa ajili ya mazungumzo. Kushoto ni Balozi wa Switzerland nchini, Olivier Chave.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Rais wa Bunge la Switzerland, Maya Graf, wakati alipofika ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana kwa mazungumzo. (Picha zote na OMR)

No comments:

Post a Comment