Thursday, October 3, 2013

Semina ya wadau muhimu katika utekelezaji mpango kazi wa uwezeshaji na kuwajengea uwezo vijana kuweza kujiajiri


Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya GODTEC, Abnery Shagille, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akiwafafanulia kuhusu utafiti wa mradi wa Vijana kuanzisha Kampuni za kuwawezesha kujiajiri mara wamalizapo masomo yao ya Vyuo Vikuu. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya GOTEC, Abnery Shagille, akizungumza katika semina ya wadau muhimu katika utekelezaji mpango kazi wa uwezeshaji vijana kuweza kujiajiri, Dar es Salaam leo, kwa kuanzisha Kampuni za ushirikiano mara wamalizapo masomo yao ya Vyuo Vikuu.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uwezeshaji na Uhamasishaji Vijana wa Wizara Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Kissui Steven, akizungumza wakati alipokuwa akiifungua semina ya siku moja ya wadau muhimu katika utekelezaji mpango kazi wa uwezeshaji na kuwajengea uwezo vijana kuweza kujiajiri kwa kuanzisha makampuni yao kwa njia ya ushirikiano wa vikundi mbalibali nchini, Dar es Salaam leo. Semina hiyo iliandaliwa na Kampuni ya kuwajengea uwezo vijana nchini ya GODTEC.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uwezeshaji na Uhamasishaji Vijana wa Wizara Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Kissui Steven, akizungumza wakati alipokuwa akiifungua semina ya siku moja ya wadau muhimu katika utekelezaji mpango kazi wa uwezeshaji na kuwajengea uwezo vijana kuweza kujiajiri kwa kuanzisha makampuni yao kwa njia ya ushirikiano wa vikundi mbalibali nchini, Dar es Salaam leo. Semina hiyo iliandaliwa na Kampuni ya kuwajengea uwezo vijana nchini ya GODTEC.
Baadhi ya washiriki wa semina ya wadau muhimu katika utekelezaji mpango kazi wa uwezeshaji na kuwajengea uwezo vijana kuweza kujiajiri kwa kuanzisha makampuni yao kwa njia ya ushirikiano wa vikundi mbalibali nchini, wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uwezeshaji na Uhamasishaji Vijana wa Wizara Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Kissui Steven, alipokuwa akiifungua semina yao ya siku moja, Dar es Salaam leo, iliyoandaliwa na Kampuni ya kuwajengea uwezo vijana nchini ya GODTEC.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uwezeshaji na Uhamasishaji Vijana wa Wizara Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Kissui Steven, akizungumza wakati alipokuwa akiifungua semina ya siku moja ya wadau muhimu katika utekelezaji mpango kazi wa uwezeshaji na kuwajengea uwezo vijana kuweza kujiajiri, Dar es Salaam leo. Semina hiyo iliandaliwa na Kampuni ya kuwajengea uwezo vijana nchini ya GODTEC.
Baadhi ya washiriki wa semina ya wadau muhimu katika utekelezaji mpango kazi wa uwezeshaji na kuwajengea uwezo vijana kuweza kujiajiri kwa kuanzisha makampuni yao kwa njia ya ushirikiano wa vikundi mbalibali nchini, wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uwezeshaji na Uhamasishaji Vijana wa Wizara Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, alipokuwa akiifungua semina yao ya siku moja, Dar es Salaam leo, iliyoandaliwa na Kampuni ya kuwajengea uwezo vijana nchini ya GODTEC.
Baadhi ya washiriki wa semina ya wadau muhimu katika utekelezaji mpango kazi wa uwezeshaji na kuwajengea uwezo vijana kuweza kujiajiri kwa kuanzisha makampuni yao kwa njia ya ushirikiano wa vikundi mbalibali nchini, wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uwezeshaji na Uhamasishaji Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo alipokuwa akiifungua semina yao ya siku moja, Dar es Salaam leo, iliyoandaliwa na Kampuni ya kuwajengea uwezo vijana nchini ya GODTEC.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uwezeshaji na Uhamasishaji Vijana wa Wizara Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Kissui Steven, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuifungua semina ya siku moja ya wadau muhimu katika utekelezaji mpango kazi wa uwezeshaji na kuwajengea uwezo vijana kuweza kujiajiri, Dar es Salaam leo. Semina hiyo iliandaliwa na Kampuni ya kuwajengea uwezo vijana nchini ya GODTEC. 

No comments:

Post a Comment