Thursday, January 9, 2014

BASI LA MTE LACHOMWA MOTOP BAADA YA KUGONGA NA KUUA WATU WATATU SINGIDA


Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikononi.
 
Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.

No comments:

Post a Comment