Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alipowasili
wizarani jana asubuhi na kulakiwa kwa shangwe na wafanyakazi wa wizara hiyo.
Mheshimiwa
Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akipokea
kadi ya pongezi kutoka kwa Kamishna wa Elimu, Profesa Eustella
Bhalalusesa na katikati anayeshuhudia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo,
Profesa Sifuni Mchome.
Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akikaribishwa ofisini kwake na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome
No comments:
Post a Comment