Wachezaji
wa Mbeya City wakifanya mazoezi mepesi kabla leo kwenye uwanja wa
Kaitaba Bukoba kujiweka tayari na mchezo wao dhidi ya Kagera Sukar ya
hapa Bukoba.
Kocha wa Mbeya City akijiuliza hapa...swala kubwa ni kusaka alama tatu muhimu kesho
Wachezaji wa Mbeya City wakifanya mazoezi mepesi mepesi hii leo kwenye uwanja wa Kaitaba Stadium
Makipa nao wakipasha hapa kujiweka tayari kwa mtanange wao na Kagera Sugar
Kocha Juma Mwambosi wa Mbeya City akipata maji ya kunywa hapa.
Kocha
Juma Mwambosi wa Mbeya City akiteta na wachezaji wake leo wakati wa
mazoezi, Hakika ni swala la kuangalia uwanja ulivyo ili kesho wautumie
vizuri na hatimaye wajichukulie pointi tatu.
Kocha Juma Mwambosi wa Mbeya City (kulia) akiangalia vijana kama wako sawa kwa mtanange wa kesho.
Kocha
Juma Mwambosi wa Mbeya City akiangalia vijana wake wakati wa mazoezi
tayari kwa mtanange wa kesho jumamosi tarehe 25 kwenye Uwanja wa
Kaitaba.
Kiongozi wa Mbeya City (kushoto) akiteta jambo leo wakati wa mazoezi ya timu yao Mbeya City kwenye uwanaja wa kaitaba.
Ndinga ya Mbeya City - Shakazulu
Picha zote na Faustine Rutta
No comments:
Post a Comment