Thursday, January 30, 2014

NI KWELI ZA MWIZI NI 40 ONA MWIZI WA PIKI PIKI BAADA YA KUKAMATWA DAR

Wananchi wakimpeleka Kituo cha Polisi, kijana aliyetuhumiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti ya Sunni na Ibadhi, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, Dar es Salaam hivi karibuni, baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi waliokuwa na hasira. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com) 

Askari Kanzu, akimuongoza kwenda Kituo cha Polisi kijana aliyeshukiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti ya Sunni na Ibadhi, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, Dar es Salaam hivi karibuni, baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi waliokuwa na hasira. 
Askari Kanzu, akimuongoza kwenda Kituo cha Polisi kijana huyo, aliyeshukiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti ya Sunni na Ibadhi, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, Dar es Salaam hivi karibuni, baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi waliokuwa na hasira. 
Wananchi wakimpeleka Kituo cha Polisi kijana aliyeshukiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti ya Sunni na Ibadhi, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, Dar es Salaam hivi karibuni, baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi waliokuwa na hasira. 
Wananchi wakimpeleka Kituo cha Polisi kijana aliyeshukiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti ya Ibadhi na Suni, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, Dar es Salaam hivi karibuni, baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi waliokuwa na hasira. 

Wananchi wakimsaidia kumnyanyua kwa ajili ya kumpeleka Kituo cha Polisi, kijana aliyetuhumiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti ya Sunni na Ibadhi, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, Dar es Salaam hivi karibuni baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi waliokuwa na hasira. 
Wananchi wakimsaidia kumnyanyua kijana huyo, kwa ajili ya kumpeleka Kituo cha Polisi. 

Askari kanzu, akimsaidia kumnyanyua kwa ajili ya kumpeleka Kituo cha Polisi, kijana aliyetuhumiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti hiyo.
Kijana akiwa kaishiwa nguvu.

Wananchi wakimsaidia kumnyanyua kwa ajili ya kumpeleka Kituo cha Polisi, kijana aliyetuhumiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti ya Sunni na Ibadhi, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, Dar es Salaam jana, baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi waliokuwa na hasira. 

Wewe nyanyuka twende, ndivyo alivyokuwa akielekea kusema Askari kanzu (kulia), wakati kijana huyo alipoishiwa nguvu na kushindwa kutembea kuelekea Kituo cha Polisi cha Kati.
Wananchi wakimsaidia kumnyanyua kwa ajili ya kumpeleka Kituo cha Polisi, kijana aliyetuhumiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti ya Sunni na Ibadhi, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, Dar es Salaam jana, baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi waliokuwa na hasira.  
Wananchi wakimsaidia kumnyanyua.
Wananchi wakimsaidia kumnyanyua kwa ajili ya kumpeleka Kituo cha Polisi, kijana aliyetuhumiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti ya Sunni na Ibadhi, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakimsaidia kumnyanyua kwa ajili ya kumpeleka Kituo cha Polisi, kijana aliyetuhumiwa kuiba pikipiki nje ya Misikiti ya Sunni na Ibadhi, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, Dar es Salaam hivi karibuni baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi waliokuwa na hasira. 
 Wananchi wakimsaidia kumnyanyua kwa ajili ya kumpeleka Kituo cha Polisi, kijana aliyetuhumiwa kuiba pikipiki nje ya Msikiti wa Ibadhi, makutano ya Mitaa ya Indira Gadhi na Mosque, Dar es Salaam jana, baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi waliokuwa na hasira. 
Akiingizwa kwenye gari baada ya kuishiwa nguvu kutokana na kipigo alichokipata kutoka kwa wananchi.
Akiingizwa kwenye gari baada ya kuishiwa nguvu kutokana na kipigo alichokipata kutoka kwa wananchi.
Akiingizwa kwenye gari baada ya kuishiwa nguvu.
Wananchi wakiangalia ndani ya gari lililombeba mtuhumiwa huyo.
Wananchi wakiliangalia gari hilo, lililombeba mtuhumiwa huyo.
Hapa wananchi wakijadili jambo mara baada ya kuondoka gari lililombeba mtuhumiwa huyo.

No comments:

Post a Comment