Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (wa pili kulia), mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan (wa pili kushoto), wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa chumba hicho, Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Marcel Escure na kulia ni Mwakilishi wa Ukuzaji wa Mtandao wa Aga Khan (AKDN), Amin Kurji.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kanda ya Afrika Mashariki Afya wa Taasisi ya hudama za Afya wa Aga Khan, Sulaiman Shahabuddin, akizungumza katika hafla hiyo.
Mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Dini ya Kiislamu la Ismailia duniani, ambaye ni Mkuu wa Idara ya Huduma za Jamii wa taasisi ya Aga Khan Health Services Development Network (AKDN), Princess Zahra Aga Khan, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, uliofanywa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid jijini leo.
Princess Zahra Aga Khan, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, jijini leo.
Princess Zahra Aga Khan, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, jijini leo.
Princess Zahra Aga Khan, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, jijini leo. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Marcel Escure, akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto ni Princess Zahra Aga Khan na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan, wakikata utepe kwa ajili ya kuzindua chumba cha matibabu ya saratani cha Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment