Wednesday, January 8, 2014

ZITO KABWE AWA KIZITO DHIDI YA CHADEMA AIBUKA KIDEDEA MAHAKAMANI


Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, akionekana mwenye wasiwasi mara baada ya Jaji John Utamwa wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutoa hukumu katika shauri lake la zuio la kutaka kutokujadiliwa na Kamati Kuu ya chama hicho, Dar es Salaam leo, ambapo katika shauri hilo aliibuka mshindi. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wafuasi wa Zitto Kabwe wakishangilia na kuonesha ishara ya kushinda katika shauri hilo.
Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lisu, akiwatuliza wafuasi wa chama hicho baada ya kushindwa katika shauri hilo na Zitto Kabwe.
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa katika ulinzi mahakamani hapo jana.
Mashabiki wa Zitto Kabwe, wakishangilia ushindi wake baada ya kuubwaga uongozi wa Chama chake cha Chadema.












Tundu Lisu akiondoka Mahakama Kuu .

No comments:

Post a Comment