Wednesday, February 5, 2014

JWTZ KIKOSI CHA 302 CHASHEREKEA MIAKA 40 TANGU KUANZISHWA KWAKE KWA KUTOA ZAWADI MBALI MBALI KWA WATOTO WALIOLAZWA HOSPITAL YA MWANANYALA KWA MAGONJWA MBALI MBALI



 viongozi mbali mbali wa jeshi la wananchi Tanzania  JWTZ kikosi cha 302  kikiongozwa na charo Hussein -ofisa mkuu wa  utawala  wa  brigedia aliye katikati walipokuwa wakihojiwa na waandishi wa habari mapema leo walipotembelea hospital ya mwananyamala wodi ya watoto kwa lengo la kutoa zawadi katika sherehe za kutimiza miaka 40 tangu kuanzishwa kikosi cha 302 kinachopatikana DSM & PWANI(picha zote  Gasper Sambweti wa G SAMBWETI OFFICIAL BLOG http://sambweti.blogspot.com)

 Wanajeshi wa JWTZ  kikosi cha 302 walipokuwa wakihojiwa na waandishi kabla kuanza kwa zoezi la kutoa zawadi kwa watoto katika hospital ya mwananayamala walipotembelea leo ikiwa ni sehemu ya kusherekea miaka 40 tangu kuanzishwa kwake.(picha zote  Gasper Sambweti wa G SAMBWETI OFFICIAL BLOG http://sambweti.blogspot.com)

 baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali wakichukua dondoo walipokuwa wakifanya mahojiano na kikosi cha 302 walipotembelea hospitali ya mwanannyamala na kutoa zawadi kwa watotot0(picha zote  Gasper Sambweti wa G SAMBWETI OFFICIAL BLOG http://sambweti.blogspot.com)














 charo Hussein mkuu wa brigedia na kiongozi wa msafara akitoa zawadi kwa mmoja wa watoto walipotembelea wodi ya watoto kutoa zawadi katika kusherekea miaka 40 tangu kuanzisha kwa kikosi cha 302












 mama mwenye watoto mapacha akipokea zawadi  mbali mbali zilizogawiwa na jeshi la wananchi kikosi cha 302  walipokuwa wakitoa zawadi katika kusherekea miaka 40 tangu kuanzishwa kwa kikosi hicho.






No comments:

Post a Comment