Msafara
wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
ukitoka uwanja wa ndege wa Songwe kuelekea mjini Mbeya leo mara baada ya
kuwasili mkoani humo. 
Pikipiki zao zikiwa zimeegeshwa nje ya ukumbi.
Waendesha Bodaboda wakifuatilia hotuba za Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wakati wa mkutano huo. 
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea
risala ya waendesha Bodaboda kutoka kwa Msumba Makya Katibu wa Waendesha
Bodaboda. 
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akibebwa
juujuu na waendesha bodaboda mara baada ya kuwahutubia kwenye ukumbi wa
Mkenda leo.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha
ya pamoja na uongozi wa waendesha Bodaboda kushoto ni mwenyekiti Vicent
Mwashoma na kulia ni Msumba Makya Katibu wa Waendesha Bodaboda.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA)
No comments:
Post a Comment