Wednesday, February 26, 2014

MWILI WA BALOZI KAZAURA WAWASILI DAR KUTOKA INDIA



 Waombolezaji wakisukuma jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), marehemu Balozi Fulgence Kazaura ulipowasili jioni hii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kutoka India. (Picha zote na Khamisi Mussa)
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akwafariji ndugu wa marehemu
 Ndugu wakifunua jeneza kuutengeneza mwili wa marehemu Kazaura.
Jeneza lilimowekwa mwili wa marehemu Profesa Rwezaura


 Mwili ukipakiwa kwenye gari tayari kupelekwa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Kairuki, Mikocheni
Gari lililoubeba mwili huo.

No comments:

Post a Comment