Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi, akizindua huduma
mpya ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni wa
PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo Dar es
Salaam jana. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima.
Viongozi wakiongozwa na Mgeni rasmi wakiwa jukwaa kuu baada ya uzinduzi.
Mgeni
rasmi akipokea tuzo maalum kama ishara ya yeye kushiriki katika mkutano
huo Mkuu wa tatu wa wadau wa PSPF jijini Dar es Salaam
Naibu waziri wa Fedha Adam Malima akionesha tuzo yake
Blogger
John Bukuku akisalimina na mgeni rasmi kabla ya kukabidhiwa kadi yake
ya uanachama baada ya kujiunga na Mpango Maalum wa Uchangiaji kwa
hiyari.
John Bukuku wa Fullshangwe Blog akipokea kadi yake.
Mwandishi wa habari wa gazeti la Habarileo, Hellen Mlaki akisalimiana na mgeni rasmi kabla ya kupokea kadi yake.
Baadhi ya wadau wa PSPF wakifuatilia matukio ya ufunguzi katika mkutano huo.
Mzee Ali Hassan Mwinyi akifuatilia matukio Mkutanoni hapo.
Baadhi ya viongozi wakiwakifuatilia mkutano huo.
Burudani kutoka THT ikiendelea
Mrisho Mpoto akighani mashairi yake
Baadhi ya wanachama ambao ni wastaafu wakiwa nje ya ukumbi wa mikutano.
Picha ya pamoja na wakurugenzi na Mameneja wa PSPF.
No comments:
Post a Comment