Wednesday, February 26, 2014

Uzinduzi wa EP ya JanB ndani ya ukumbi wa club billicanas jumapili 9 mwezi 3 mwaka 2014

Displaying JaN B - 360 EP Album Flyer (3).jpg 
Uzinduzi wa EP Album ya Msanii wa Mziki wa kizazi kipya katika miondoko ya Swahili Pop/House & Techno. Itafanyika tarehe 9 March 2014 CLUB BILLICANAS. Atasindikizwa na wasanii wakali WAKAZI, NIKKI MBISHI, NIITE SONGA, GODZILLA, M-RAP, COUNTRY BOY, AZMA, OBI na wengine kibaoo. Ni siku ya Jumapili kuanzia saa nne USIKU  mpaka chweee kwa kiingilio cha 8,000 tuu. Pia EP Album ya JanB itapatikana pale kwa buku tano tuu.

Venue: Club billicanas
Date: 9th March 2014
Price: T.sh 8,000
Instagram@janbizo

No comments:

Post a Comment