Jaji Mkuu Mstaafu Mh. Thomas Mihayo akitoa ufafanuzi wa uzinduzi wa Rasimu ya pili ya Katiba
Mkurugenzi
Mtendaji wa Haki za Binadamu Bi. Helen Simba akieleza kuhusika kwa haki
za Binadamu katika Rasimu ya Pili katiba kwa wananchi.
Mgeni
Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu
akitoa hotuba kabla ya uzinduzi Rasmi wa kampeni ya Taifa ya kusambaza
uelewa wa Rasimu ya Pili ya Katiba kwa Wananchi
Mgeni
Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu
akizindua Rasmi Kijitabu kidogo kilicho andikwa Rasimu ya Pili ya Katiba
Inasemaje? Chapisho la Lugha nyepesi
Mgeni
Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu
akizindua rasmi vipeperushi vilivyo andikwa , Mambo Saba makubwa ya
kuungwa mkono na wananchi katika Rasimu ya Katiba pamoja na mambo
makubwa matano yanayokosekana katika Rasimu ya Katiba na Kipeperushi cha
pili kinacho sema 'Taifa ni letu na Katiba ni yetu Husika tupate Katiba
Bora.
Mgeni
Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu
akigawa vipeperushi hivyo kwa ishara ya uzinduzi rasmi.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua Rasmi Jarida la Rasimu ya Pili ya Katiba
Mgeni
Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu
akizindua Flash Disk maalum zenye Rasimu ya Katiba ambazo zitagawiwa kwa
waendesha Bodaboda ili abiria akipanda nae apate kusikiliza Rasimu
hiyo.
Mgeni
Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu
akizindua Rasmi, DVD, VCD pamoja na AUDIO CD kwa ajili ya walemavu.
Mgeni
Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu
akizindua Rasmi Tovuti 'Blog' inayo itwa Taifa ni letu www.taifaniletu.blogspot.com ambayo ni maalumu kwa ajili ya Rasimu ya Pili ya Katiba.
Mgeni
Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu
akitoa pongezi kwa jinsi mchakato unavyokwenda ikiwa ni pamoja na
kutumia Teknolojia ya hali ya juu ili kila mtu afikiwe na Rasimu ya Pili
ya Katiba
Kundi
la watu wenye ulemavu wa aina mbalimbali wakiwa wamefika katika
uzinduzi wa kampeni ya taifa ya kusambaza uelewa wa Rasimu ya Pili ya
Katiba kwa wananchi wote
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani wakiwa katika uzinduzi
wa kampeni ya taifa ya kusambaza uelewa wa Rasimu ya Pili ya Katiba kwa
wananchi wote,ambapo pia kulikuwa na shule zengine Kama Azania ,Mazimbwi
na Chamazi.
Kwaya kutoka Haki za Binadamu wakitumbuiza kwa moja ya nyimbo zao
Sehemu ya watu waliohudhuria katika Uzinduzi huo.
Picha na Dar es salaam Yetu Blog
No comments:
Post a Comment