Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Andrew Chenge (kushoto), anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa bunge hilo, akizungumza jambo na wajumbe wenzake, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) na Injinia Gerson Lwenge, nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa kikao cha kujadili kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma jana. Bunge hilo, linaendelea tena kesho na kikao chake, kama semina na kesho kuanza rasmi. |
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Philemon Ndesamburo (kushoto) na Mwigulu Nchemba, wakizungumza jambo nje ya Ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma jana, baada ya kuaghirishwa kikao cha bunge hilo. |
Mjumbe wa Bunge Maalum, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akitoka nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa kikao cha kujadili kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma jana. |
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa kwa kikao cha kujadili kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma jana. |
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa kwa kikao cha
kujadili kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Mahadhi Juma Maalim (kushoto), Profesa Juma Kapuya na Haroub Mohamed
Shamis, wakizungumza jambo nje ya ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma mara
baada ya kuaghirishwa jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Profesa Juma Kapuya (kushoto) na Haroub Mohamed Shamis, wakijadili jambo
nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa kikao cha kujadili
kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Mahadhi Juma
Maalim na Namelok Sokoine wakizungumza jambo, nje ya ukumbi huo jana,
mjini Dodoma.
Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, Richard Ndassa (kulia), akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda nje ya ukumbi wa Bunge, mara baada ya kuaghirishwa jana. |
Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba,
Richard Ndassa (kulia), akizungumza jambo na mjumbe mwenzake, Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda nje ya ukumbi wa Bunge, mara baada ya kuaghirishwa
jana.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Shamim
Khan (kushoto), akimweleza jambo, mjumbe mwenzake, Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda, nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa jana. Kulia ni
mjumbe Richard Ndasa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Vita
Kawawa akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuaghirishwa
kikao hicho, nje ya ukumbi wa Bunge jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Vita Kawawa (kushoto) na Adelgunda Mgaya, wakizungumza jambo mara baada ya kuaghirishwa jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Ibrahim Muhamada Sanya (kushoto), akizungumza jambo na wajumbe
wenzake,Vita Kawawa, Ismail Jusa Ladhu na Margreth Sitta, nje ya ukumbi
wa bunge jana.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Willium Lukuvi, akimweleza jambo mjumbe mwenzake, Maria Sarungi, mara
baada ya kuaghirishwa kwa kikao cha bunge hilo jana.
No comments:
Post a Comment