Wednesday, February 5, 2014

wimbo Kichomi ft D wa Maujanja Saplayaz & Jambo Squad - Pande Zao

Displaying IMG-20140124-WA0030.jpg
Kichomi Dax anayerep kundi la North Dwellers ambao wamekuja kwa kasi na wimbo wao unaoitwa Original hivi karibuni anafungua mwaka kwa anthem hii "Pande zao" akiwa amewashirikisha Jambo Squad walioibuka kuwa kundi bora la mwaka 2013 pamoja na Dotto - D Wa maujanja Saplayaz wanakwambia Pande Zao mpango mzima toka Grandmaster Records chini ya John Blass na Dj Az ambaye kwa sasa yupo India kuendeleza shughuli zake za muziki.


No comments:

Post a Comment