Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwa
amemuinua mkono Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete ikiwa ni ishara ya kumnadi kwa
wananchi wa Kata ya Ubena Zomozi huku mvua kubwa ikiendelea
kunyesha,wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea katika Kata
mbali mbali ndani ya jimbo la Chalinze.Picha zote na Othman
Michuzi,Globu ya Jamii - Chalinze.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana (katikati)
akiwa amesimama kusikiliza kwa makini sera za Mgombea Ubunge katika
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete
(hayupo pichani) alizokuwa akitoa kwa Wananchi wa Kata ya Ubena Zomozi
huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha,wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM
zinazoendelea katika Kata mbali mbali ndani ya jimbo la Chalinze.
Wananchi
wa Kata ya Ubena Zomozi wakiwa wamejikinga kwa mvua chini ya paa la
moja ya Nyumba zilizopo kwenye Kata hiyo wakati wa Mkutano wa Kampeni za
CCM zinazoendelea katika Kata mbali mbali ndani ya jimbo la Chalinze.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia
wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ubena Zomozi huku akishangilia kwa
shangwe,leo Machi 24,2014.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani
Jakaya Kikwete akimwaga sera zake kwa Wananchi wa Kata ya Ubena Zomozi
wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea katika Kata mbali
mbali ndani ya jimbo la Chalinze.
Wananchi
wa Kata ya Ubena Zomozi wakifatilia kwa makini sera za Mgombea Ubunge
katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya
Kikwete huku wakiwa wamejikinga kwa mvua kwa kutumia viti,wakati wa
Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea katika Kata mbali mbali ndani ya
jimbo la Chalinze.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana na Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya
Kikwete wakimpongeza Mbunge wa Jimbo Jimbo la Bagamoyo,Dkt. Shukuru
Kawambwa baada ya kutoka kuwasalimia wananchi wa Kata ya Msolwa ndani ya
Jimbo la Chalinze.
No comments:
Post a Comment