Friday, March 7, 2014

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki azindua kampeni ya Ini jijini Dar


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik akitoa hotuba wakati akizindua kampeni ya homa ya ini (HEPATITIS B), uzinduzi huo umefanyika katika Hospital ya Amana March 7,2014 jijini Dar es Salaam.
 Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magembe akielezea matatizo ya ugonjwa wa ini namna ya kujikinga wakati wa uzinduzi huo.
 Wauguzi pamoja na madaktari wakishuhudia uzinduzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akiwa kwenye picha ya pamoja madaktari mara baada ya kuzindua
Wafanyakazi wa Hospital ya Amana na wauguzi wakipata vipimo.

No comments:

Post a Comment