Monday, May 5, 2014

MKUTANO WA HADHARA WA CCM WAFUNIKA KIBANDA MAITI MJINI UNGUJA


Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini,Ndg. Boraafya Silima wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar.Picha zote na Othman Michuzi.
Katibu wa NEC,Oganaizeshe CCM,Dkt. Mohamed Seif Khatibu akiwahutubia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar. 
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akiwaeleza wananchi wa Unguja kuhusu umoja ulioanzishwa wa baadhi ya vyama siasa na malengo ya umoja huo,wakati wa Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar. 
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini,Ndg. Boraafya Silima akiwasabahi wananchi wa Unguja jioni ya leo.
Mbunge wa Jimbo la Mtera,Mh. Livingstone Lusinde a.k.a Kibajaj akizungumza kwa kusisitiza juu ya wale wanaowatukana waasisi wa Muungano wa Tanzania,huku akiomba ridhaa kwa wananchi na viongozi wa Chama ili yeye pamoja na vijana wengine waweze kuwashughulikia.hii ni katika Mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar. 
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar.
Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar,Hayati Aman Katume,Mama Fatma Karume akiongea kwa msisitizo mkubwa huku akiwataka Wazanzibar kuacha kabisa kuuchezea Muungano kwa kuwafata watu wanaoupotosha.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akimpongeza Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar,Hayati Aman Katume,Mama Fatma Karume mara baada ya kuzungumza na wazanzibar jioni ya leo waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Demokrasia ,Kibada Maiti mjini Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akiwasalimia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar.


Makamu Mwenyekiti UWT,Bi. Asha Bakari Makame akiwahutubia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar. 
Mbunge wa Viti Maalum CCM,Mh. Ummy Mwalimu akiwahutubiwa wananchi wa Zanzibar kupitia Mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar jioni ya leo.ambapo amewataka Wazanzibari kutohadaishwa na UKAWA kususu swala la muundo wa Serikali katika mchakato wa Katiba.
Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini,Mh. Emmanuel Nchimbi akinukuu sehemu ya maandishi yaliopo kwenye kitabu cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamad wakati wa Mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar.
Mh. Stephen Wassira akiwasalimia wananchi wa Unguja.

Mbunge wa Jimbo la Sikonge,Mh. Said Mkumba nae hakubaki nyuma kuzungumza na wana Unguja leo.
Umati wa WanaZanzibar ukiwa umefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar,kufatilia Mkutano wa hadhara wa CCM. 
Wazee wakifatilia Mkutano wa hadhara wa CCM leo.
Meza Kuu ya Viongozi wakifatilia mada mbali mbali zilizokuwa zikitolewa Mkutanoni hapo.
Wananchi wa Unguja wafatilia Mkutano kwa Umakini Mkugwa.
Mh. Ummy Mwalimu akiwauliza Wananchi wa Unguja wanataka Serikali ngapi??

No comments:

Post a Comment