Sunday, May 4, 2014

Mbunge Abbas Mtevu afungua Kikao cha Wajumbe wa Baraza la UWT Jimbo la Temeke, Dar es Salaam


Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, akiingia katika kikao Maalum cha Wajumbe wa Baraza la Jimbo akiongozana na Mbunge wa Viti maalum na Mwenyekiti wa( UWT) Temeke, Mariam Kisangi. (Picha zote kwa hisani ya Khamis Mussa- www.ujijirahaa.blogspot.com)
Baadhi ya Madiwani wakiimba nyimbo na  wakipiga makofi, wakati alipokua akiingia mgeni rasmi, Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu mara alipowasili katika hafla hiyo, ya ufunguzi wa kikao maalum cha wajumbe wa Baraza la Jimbo la Temeke UWT. Kulia ni Amina Ismail, katikati ni Maryam Mtemvu na kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Mwenyekiti wa (UWT) Kata ya Kibada Kigamboni, Kurwa Mazamba.
 Mshehereheshaji akitoa maelezo katika hafla hiyo.
Mshehereheshaji ambaye ni Katibu wa UWT wa Temeke, Zahara Mohamed akiimba wimbo.
Mbunge wa Jimbo la Temeke kulia,  Abbas Mtemvu na Mbunge Viti Maalum  na Mwenyekiti wa UWT) Wilaya  ya Temeke kushoto ni Mariam Kisangi, wakiwapungia mikono wajumbe mara walipo kua wakipewa Salam za chama hicho.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia) ,akiweka saini katika kitabu cha wageni ,kushoto ni Mbunge Viti Maalum  na Mwenyekiti wa (UWT) Wilaya  ya Temeke   Mariam Kisangi.
Diwani Viti Maalum Miburani  Dorothy Kilave,  akisalimi wajumbe kwa salam ya kuonyesha vidole kwakuashiria Serekali mbili mpango mzima, mara alipo tambulishwa, wakatikati ni Diwani Viti Maalum kata ya Azimio Amina Ismail na kushoto ni  Diwani 
Viti Maalum kata Tandika, Maryam Mtemvu.
Mbunge Viti Maalum  na Mwenyekiti wa (UWT) Wilaya  ya Temeke katikati Mariam Kisangi, na kushoto ni Katibu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Zahara Mohamed, wakiwasalimia wajumbe kwakuonyesha Vidole, kulia ni  Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu. 
Wajumbe wakiwa wanonyesha Vidole kwakuashiri salam za Chama cha Mapinduzi,kuashiria Serekali mbili.
Mbunge Viti Maalum  na Mwenyekiti wa (UWT) Wilaya  ya Temeke, Mariam Kisangi,akiongea na wajumbe hao kwa kuhitaji kupata mawazo yao ambayo kwao wanaona ni kero, kulia ni   Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu.

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akifungua Kikao maalum cha wajumbe wa Baraza la Jimbo la Temeke (UWT) kushoto ni   Mbunge Viti Maalum  na Mwenyekiti wa (UWT) Wilaya  ya Temeke, Mariam Kisangi.

 Sehemu ya wajumbe walio taka kujua na kufahamu mambo ya kero ya Barabara ni Katibu kata  UWT , Miburani ni Scholastica Chuma.

 Wajumbe wakisikiliza kwa makini.


Mbunge wa Jimbo la Temeke kulia,  Abbas Mtemvu akipiga simu kwa mmoja wa Wakala wa Barabara (TANROAD) ili apate majibu kutokana na maswali yaliyo ulizwa na wajumbe hao ili wapate majibu ya kwa ujenzi wa barabara ya Devis Corna hadi Yombo
na Mbunge Viti Maalum  na Mwenyekiti wa UWT) Wilaya  ya Temeke. Kushoto ni Mariam Kisangi, wakiwapungia mikono wajumbe mara walipo kua wakipewa Salam za chama hicho.
Katibu wa Umoja wa WanaWake Tanzania  (UWT) Halima Masoud akimkabidhi Muhtasari wa Mradi wa Kikundi cha Watendaji UWT Group.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, akifafanua jambo  katika kikao cha wajumbe wa Baraza la Jimbo la Temeke (UWT ) Temeke Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment