Baadhi
ya wananchi wa Bagamoyo wakiswali swala ya Magharibi wakati wa futari
iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete,
ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe
Ridhiwani.
Mbunge
wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akichota futari pamoja na wananchi
wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya
Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo
Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya
kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge
wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akijumuka na wananchi wa Bagamoyo
walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete
katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni
Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani
Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge
wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa neno la shukurani kwa
wananchi wa Bagamoyo waliohudhuria katika futari iliyoandaliwa na Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya
Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika
ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Sehemu
ya kinamama wa Bagamoyo waliohudhuria katika futari iliyoandaliwa na
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya
Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko
katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Baadhi
ya wafanyakazi wahudumu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya
Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo
Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya
kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge
wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akiagana na wananchi wa Bagamoyo
walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete
katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni
Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani
Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment