Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia moja kati ya miti 19,270 ya
korosho iliyoharibika alipokwenda kukagua shamba la hekali 1000 katika
Kijiji cha Magawa wakati wa ziara yake wilayani Mkuranga ya kuimarisha
uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata
Ilani ya Uchaguzi ya CCM.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA
MATUKIO BLOG
Kinana akiongoza kukagua shamba la mikorosho iliyoharibika na kuwafanya wananchi wa Kijiji cha Magawa kuwa masikini.
Kinana
akizungumza na wakulima wa zao hilo katika Kijiji cha Magawa, ambapo
aliahidi suala lao hilo kulipepeleka kwa Waziri Mkuu, ili wapatiwe fidia
na serikali kama walivyopatiwa wafugaji waliofiwa na mifugo yao katika
baadhi ya ikoa nchni.
Kinana
akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Rufiji,na Waziri wa Afya na Ustawi
wa Jamii, Dk. Seif Rashid mkoani Pwani, alipowasili katika wilaya hiyo
kuanza ziarfa ua kuimarisha uhai wa chama.
Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na Mbunge wa
Jimbo la Rufiji,na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.
Seif Rashid mkoani Pwani, alipowasili katika wilaya hiyo kuanza ziarfa
ua kuimarisha uhai wa chama.
Nape Nnauye akilakiwa kwa furaha na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu leo katika Mji wa Ikwiriri
Kinana akisaidia kuranda mbao baada ya kufungua Tawi la Vijana wajasriliamali la Mayuyu Mjini Utete, Wilayani Rufiji leo
Kinana na Nape wakiangalia viti walivyozawadiwa na kikundi hicho cha VIJANA
Kinana akikagua jengo la Ofisi ya Wilaya ya Rufiji baada ya kulizindua mjini Utete leo
Kikundi cha hamasa cha CCM Wilayani Rufiji, wakicheza ngoma katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Kinana mjini Utete leo
NNape akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Utete leo
Mwenyekiti
wa Serikali ya Mtaa wa Kiwili, Kata ya Utete,Sudi Nassoro akijeleza
mbele ya Kinana jinsi wanavyosuluhisha migogoro dhidi ya wafugaji na
wanakijiji katika kkutano huo.
Mzee
Shamte Ungusa (71), mkazi wa Utete Mjini, akilalamika mbele ya Kinana
jinsi serikali ilivyowasahau kwa kipindi kirefu kuwajengea barabara ya
lami kutoka Nywamwage hadi mjini Utete ambapo ni makao makuu ya Wilaya
ya Rufiji.
Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo cha utii mbele ya Kinana baada ya kukabidhiwa kadi za chama hicho katika mkutano huo
Kinana akaikagua jengo jipya la uzazi la akina mama katika Kijiji cha Nyamwage.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Juma
Abeid Diwani wa Kata ya Magawa wilayani Mkuranga wakati alipotembelea
shamba la Mikorosho lenye hekari 1000 ambapo mikorosho inayokaribia elfu
20 imeharibika vibaya baada ya kupata ugonjwa unaonyausha mikorosho
hiyo , Diwani huyo amesema wananchi wa kata hiyo wako katika hali mbaya
kwakuwa zaidi ya miaka minne sasa hawajavuna chochote na maisha yao
yanazidi kuwa mabaya, Katibu Mkuu Kinana yuko katika ziara ya mikoa ya
Pwani, Tanga na Iringa akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM
ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za
maendeleo, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa
NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-
Juma Abeid Diwani wa Kata ya Magawa wilayani Mkuranga akimuongoza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akikagua shamba hilo leo.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyeshwa na Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Pwani Mwishehe Mlao jinsi mikorosho hiyo ilivyoharibika kutokana
na kukumbwa na ugonjwa huo, kushoto ni Juma Abeid Diwani wa kata ya
Mgama
Juma Abeid Diwani wa kata ya Mgama akitoa maelezo yake mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo pichani
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akisalimiana
na baadhi ya watendaji wa Wilaya ya Rufiji wakati Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana alipowasili katika mji wa Ikwiriri kulia ni
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Nurdin Babu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mh. Nurdin Babu.
Wajumbe wa Harmashauri kuu ya Wilaya wakiwa katika kikao cha ndani kilichofanyika kwenye ukumbi wa FDC mjini Ikwiriri
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wajumbe wa Harmashauri kuu ya Wilaya.kilichofanyika kwenye ukumbi wa FDC mjini Ikwiriri
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi kwenye ofisi ya mafundi seremala mjini Utete.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea
zawadi ya viti kutoka kwa kikundi cha vijana Maseremala mjini Utete
kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa , Itikadi na Uenezi na wa
pili kutoka kulia ni Mbunge wa jimbo la Rufiji na Waziri wa Afya na
Ustawi wa jamii Mh. Dr. Seif Rashid.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi Ofisi ya CCM wilaya ya Utete Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua jengo la ofisi ya CCM wilaya ya Utete
Mmoja
wa wapiga ngoma wa kikundi cha ngoma cha mjini Utete akipiga ngoma huku
akiwa amebeba mtoto wake mdogo na mtoto wake mwingine akiwa amekaa
pembeni.
Mkuu wa wilaya ya Rufiji Mh. Nurdin Babu akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Utete leo
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa , Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi wa Utete katika mkutano uliofanyika leo mjini humo
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa , Itikadi na Uenezi akimuwekea
kipaza sauti mmoja wa wazee waliofika kwenye mkutano ili kumsikiliza
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kuuliza maswali yake
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wana Utete wakati wa mkutano wa hadhara uliofnyika mjini Utete.
Baadhi ya wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi wakila kiapo mara baada ya kupokea kadi zao za uanachama
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa , Itikadi na Uenezi wakinyanyua mikono yao juu wakati wakila kiapo cha utii kwa chama,
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Dr. Onesmo Mambosho Mganga Mfawidhiwa wa kituo cha afya cha Nyamwage.
No comments:
Post a Comment