Friday, February 27, 2015

MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASA AFANYA ZIARA JIMBONI


Mbunge wa Jimbo la Mondukli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyae Lowassa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mbashi na Seleli wilayani Monduli mkoani Arusha hii leo. Lowassa yupo jimboni kuzungumza na wapiga kura wake pamoja n kusikiliza na kutolea ufafanuzi wa kero mbalimbali za wananchi zinazowakabili.

No comments:

Post a Comment