Mkurugenzi
wa Benki ya CBA Tanzania, Gift Shoka ( kushoto) akisaidiwa kukata keki
na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za wateja wa benk hiyo,Hyasinta Mwimanzu
wakati wa hafla ya kuadhimisha siku ya wapendanao duniani ambapo
benki hiyo iliadhimisha siku hiyo pamoja na wateja wao(hawapo pichani)
katika . makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Ssalaam jana.
Mkurugenzi
wa Benki ya CBA Tanzania, Gift Shoka ( kushoto) akimlisha keki mmoja
wa wateja wa benki hiyo ambaye ni Meneja Mkuu wa Uendeshaji wa
kampuni ya Britan Insurance ( T) Limited, Farai Dogo wakati wa
kuadhimisha siku ya wapendanao duniani(Valentine’s Day) ambapo
wafanyakazi wa benki hiyo walishirikiana na wateja wao kuadhimisha siku
hiyo muhimu duniani kwenye makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es
salaam jana.
Baadhi
ya wateja wa benki ya CBA Tanzania pamoja na wafanyakazi
wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Benki hiyo, Gift Shoka ( kulia)
wakati wa hafla fupi ya kusherehekea siku ya wapendanao duniani pamoja
na wateja wa benki hiyo iliyofanyika katika makao makuu ya benki hiyo
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Benki ya CBA Tanzania, Gift Shoka ( kushoto) akisalimiana na mmoja
wa wateja wa benki hiyo, Maria Shawa wakati wa hafla ya kuadhimisha
siku ya wapendanao ambapo benki hiyo iliadhimisha siku hiyo pamoja na
wateja wao katika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Wateja
wa benki ya CBA Tanzania , pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo wakiwa
kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Benki hiyo, Gift Shoka(katikati)
mara baada ya kukata kula keki ikiwa ni ishara ya kuadhimisha siku ya
wapendanao duniani leo katika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment