Mtuhumiwa wa mauaji ya alieyekuwa mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo marehemu Msafiri mbwambo alieuwawa kwa kuchinjwa amekamatwa mkoani dodoma akiwa kwa sangoma akijikinga
Mtuhumiwa huyo ambae alikuwa mpangaji wa marehemu yaani walikuwa wakiishi nyumba na marehemu Msafiri mbwambo ,mtuhumiwa huyo ambae najulikana kwa jina maarufu la CHEWAJA ni mzaliwa wa mkoa wa singida .
Mtuhumiwa huyo ameweza kuwataja watu walioshirikiana nao kuwa ni Kada wa chama cha mapinduzi pamoja na mwenyekiti wa kijiji hicho, huko Arumeru mashariki watu wengi wamehusisha mauji hayo na vurugu za kisiasa.
Vilio vimetanda kijijini mara baada ya kukamatwa na mtuhumiwa kufikishwa hapo kwa utambuzi zaidi kutoka kwa mke wa marehemu na majirani wa eneo hilo akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi
hapa chini ni tukio hilo ambalo blog hii ya habari na burudani ili kuletea basi leo hebu kumbuka kisa kilianza vipi na leo mtuhumiwa amekamatwa
hakika ni tukio la kusikitisha sana kati ya matukio yaliyo wahi kutokea
katika jiji la A rusha na vitongoji vyake ,si tukio lingine ila ni
tukio lililochukua uhai wa kamanda wa chadema bwana Mussa Mbwabo
alikuwa ni Mwenyekiti wa kata ya Usa River mkoani Arusha wa Chadema, na tukio la kifo chake lilitokea pale watu wasio julikana walipoamua kuutoa uhai wake kwa kumchinja bila huruma na kutoa uhai wake
Taarifa za tukio hilo la kikatili zimetolewa na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nasari wakati akizungumza na moja kwa moja na kituo cha Radio cha Sunrise radio Arusha toka eneo la tukio.
Nasari amesema kuwa wao kama wana chadema na wakazi wa Usa River wanaliomba jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kubaini chanzo cha tukio hilo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa kabla ya tukio hilo marehemu Mbwambo alikuwa na wenzake kwenye eneo la starehe huku akinywa soda ,na wakati akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake ghafla alipigiwa simu na watu ambao hakuwafahamu wakimuambia kuwa kulikuwa na wanachama wa ccm wanataka kurudisha kadi na kujiunga na Chadema basi marehemu aliamu kwenda kuwafuata watu hao kutokana na maelekezo waliyompa kwenye simu .
lakini hakurudi tena nnyumbani kwake hadi mwili wake ulipokutwa umetelekezwa kandokando ya barabara eneo la makaburi,huku pikipiki na vitu vingine alivyokuwa navyo isipokuwa simu yake vikibaki eneo hilo bila kuchukuliwa na wauaji hao.
huwezi amini ila ukweli ndio huu,huu ndio mwili wa marehemu Musa baadaya ya mauaji
hakika ni mauaji ya aina yake blog hii inawapa pole wafiwa wote na wale wote walioguswa na msiba wa Musa Mbwambo mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepni .
kwa wale wenye nafasi kesho 01 /5/ wafike usa kwa mazishi ya marehemu Musa
Mtuhumiwa huyo ambae alikuwa mpangaji wa marehemu yaani walikuwa wakiishi nyumba na marehemu Msafiri mbwambo ,mtuhumiwa huyo ambae najulikana kwa jina maarufu la CHEWAJA ni mzaliwa wa mkoa wa singida .
Mtuhumiwa huyo ameweza kuwataja watu walioshirikiana nao kuwa ni Kada wa chama cha mapinduzi pamoja na mwenyekiti wa kijiji hicho, huko Arumeru mashariki watu wengi wamehusisha mauji hayo na vurugu za kisiasa.
Vilio vimetanda kijijini mara baada ya kukamatwa na mtuhumiwa kufikishwa hapo kwa utambuzi zaidi kutoka kwa mke wa marehemu na majirani wa eneo hilo akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi
hapa chini ni tukio hilo ambalo blog hii ya habari na burudani ili kuletea basi leo hebu kumbuka kisa kilianza vipi na leo mtuhumiwa amekamatwa
Monday, April 30, 2012
Huku tuendako ni pabaya zaidi
marehemu Mussa MBWAMBO enzi za uahai wake
alikuwa ni Mwenyekiti wa kata ya Usa River mkoani Arusha wa Chadema, na tukio la kifo chake lilitokea pale watu wasio julikana walipoamua kuutoa uhai wake kwa kumchinja bila huruma na kutoa uhai wake
Taarifa za tukio hilo la kikatili zimetolewa na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nasari wakati akizungumza na moja kwa moja na kituo cha Radio cha Sunrise radio Arusha toka eneo la tukio.
Nasari amesema kuwa wao kama wana chadema na wakazi wa Usa River wanaliomba jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kubaini chanzo cha tukio hilo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa kabla ya tukio hilo marehemu Mbwambo alikuwa na wenzake kwenye eneo la starehe huku akinywa soda ,na wakati akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake ghafla alipigiwa simu na watu ambao hakuwafahamu wakimuambia kuwa kulikuwa na wanachama wa ccm wanataka kurudisha kadi na kujiunga na Chadema basi marehemu aliamu kwenda kuwafuata watu hao kutokana na maelekezo waliyompa kwenye simu .
lakini hakurudi tena nnyumbani kwake hadi mwili wake ulipokutwa umetelekezwa kandokando ya barabara eneo la makaburi,huku pikipiki na vitu vingine alivyokuwa navyo isipokuwa simu yake vikibaki eneo hilo bila kuchukuliwa na wauaji hao.
huwezi amini ila ukweli ndio huu,huu ndio mwili wa marehemu Musa baadaya ya mauaji
hakika ni mauaji ya aina yake blog hii inawapa pole wafiwa wote na wale wote walioguswa na msiba wa Musa Mbwambo mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepni .
kwa wale wenye nafasi kesho 01 /5/ wafike usa kwa mazishi ya marehemu Musa
sasa ni wakati wa kuiachia serikali na vyombo vya dola kufanya kazi yake tuache siasa juu ya hili ila tuangalie je familia na watoto wa marehemu wanasaidiwaje kwa tukio hili ili kufikia malengo yao ya baadae pole sana watanzania wenzangu
No comments:
Post a Comment