Sunday, October 21, 2012

Blogu hii pamoja na wasomaji wake wote kwa pamoja inapenda kukutakia siku njema ya kuzaliwa kwako dada WOINDE SHIZA



blog hii pamona na wadau wake wote inapenda kukupa hongera na pia kukuombea kwa mungu akuzidishie maisha marefu katika siku zako za kuishi hapa duniani kwa mchango wako unasaidi jamii yetu


ua hili linaashiria upendo nawe uendelee kuwa na upendo kwa ndugu jamaaa na marafiki zako nawe uzidi kupendwa kama 
ua hili
 kazi zako zikae machoni pa watu na masikio kwao kama wewe ulivyotulia katika pozi
                                    furaha yako idumu kama cheko lako


kwa habari motomoto tembelea libeneka la kasikazini ili uendelee kupata habari za uhakika dada nakutakia heri na fanaka katika maisha yako  http//.woindeshiza.blogspot.com

No comments:

Post a Comment