Israeli leo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utafanyika Januari 22, mwaka ujao wa 2013.
Uchunguzi wa maoni ya wapiga kura unaonyesha kuwa uchaguzi huo unaweza kumrudisha madarakani Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu.
Tarehe hiyo sasa inapaswa kuidhinishwa na bunge la Israeli, ambalo linaanza kesho Jumatatu kupiga kura ya kulivunja kwa ajili ya uchaguzi huo ambao awali ulipangwa kufanyika Oktoba mwaka 2013.
No comments:
Post a Comment