Thursday, March 21, 2013

"J4C na Wanahaso Screenshots"

J4c_Wanahaso_Snapshots.png
 J4C yupo chimbo akiandaa Video ya track yake ya "WANAHASO" kama screenshots zinavyoonesha hapo ikiwa ni track alorecord Pande za Fnouk Records kwa Samtimber, 
PDVD_007.PNG
Ikiwa ni kazi ya tatu toka kampuni ya VMG Africa,ya kwanza ikiwa ni "Wish u To Stay" ikafatiwa na "Lullaby ya FBG"



J4c_Wanahaso_Snapshots2.png
endelea kusikiliza kazi ya Wanahaso HAPA wakati video ikikamilishwa foe launch next week.. 

No comments:

Post a Comment