Tuesday, June 4, 2013

HALI HALISI ILIVYOKUWA AIRPOT KUPOKEA MWILI WA MAREHEMU MSANII KIPENZI CHA WATU ALBERT MANGEHA THE COW BOY.


Hivi ndivyo jinsi Albert Mangwair alivyopokelewa kwenye uwanja wa Dar-Es-Salaam International Airport.
T.I.D ni mmoja wa wasanii aliyebeba jeneza la Albert Mangwair pale Dar-Es-Salaam International Airport.



Now wapoUwanja wa ndege wa Dar es Salaam wakiusubiri mwili wa marehemu Albert Mangweha... 







PICHA KWA HISANI YA DJ SEK BLOG
PICH

No comments:

Post a Comment