Tuesday, June 4, 2013

HIZI NDO VURUGU ZILIZOTOKEA KIPINDI HIKI AMBACHO MWILI WA NGWAIR BADO UNAPELEKWA MUHIMBILI, TAZAMA PICHA HAPA



Wananchi wamepora msalaba na kuzuia gari lililobeba mwili wa marehem


<br>
 akiendelea kuongoza msafara kwenda muhimbili! Watu bado wanazuia gari kuondoka
https://pbs.twimg.com/media/BL60U_HCQAA6PC2.jpg:large
Wananchi wamelizunguka gari lililobeba mwili wa marehemu!!
Wananchi wanashusha wasanii kubeba msalaba sasa wameshusha
Hali ndo kama hii barabani kwenye msafara uliopokea mwiri wa marehemu

vurugu zimeanza after police kutokea
Vurugu zimezidi!! P_Majani anasaidia kuongea na police

No comments:

Post a Comment