BWANA RWAKATATE NA MTUHUMIWA MWENZAKE LUDOVIKI WA UPANDE WA KUSHOTO
BWANA RWAKATARE AKIFUNGULIWA PINGU
BAADHI YA WANANCHI NA WAFUASI WA CHADEMA WALIOFIKA MAHAKAMANI LEO KISUTU
SABABU ZA KUAHIRISHWA KESI HIYO NI
MADAI YA HAKIMU KUWA HAKUWEZA KUPATA MUDA WA KUPITIA MAFAILI YA KESI HIYO MAANA
ALIKUWA LIKIZO.LWAKATARE AMERUDISHWA SEGEREA NA KESI YAKE IMETAJWA KURUDISHWA
TENA MAHAKAMANI HAPO, KESHO ASUBUHI (JUNI 11 MWAKA HUU).
BWANA RWAKATARE AMEFIKISHWA LEO MAHAKAMANI KUFUATIA KESI YAKE KUPIGWA TAREHE ,HAPO TAREHE 8 MWEZI MEI KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJIN DAR ES SALAAM
BWANA RWAKATARE AMEFIKISHWA LEO MAHAKAMANI KUFUATIA KESI YAKE KUPIGWA TAREHE ,HAPO TAREHE 8 MWEZI MEI KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJIN DAR ES SALAAM
HII NI MARA TATU KESI HIYO
IKIAHIRISHWA KWA SABABU MBALI MBALI
SABABU ZA MWANZO ZILIKUWA NI KUWA HAKIMU
ALIKUWA LIKIZO NA LEO HAKIMU KAOMBA MUDA KUPITIA MAJALADA YA KESI HIYO
PICHA BA GLOBAL PUBLISHERS
No comments:
Post a Comment